Objects pop in and out of diamond city, Preculling issues? Diamond City Expansion (major expansion to Diamond City with many new NPCs, cells, buildings and more) That last one, the DC Expansion, adds so many new buildings, signs and billboards that the zone shown by bloodhound's photo is cluttered with many new visual obstructions, and there's no opportunity for pop-in
PostGE2025 - Diamond Platnumz: Naogopa kuongelea mambo ya Serikali . . . Diamond Platnumz, nyota wa Bongo Fleva, amesema anaogopa kuzungumzia masuala yanayohusu Serikali wakati wa mahojiano katika kituo chake cha redio, Wasafi FM Akijibu swali kuhusu jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, chini ya Paul Makonda na Mwana FA
Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 . . . - JamiiForums Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1 3 na Getty Images Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1 3 =)
Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo
Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB - JamiiForums Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefafanua taarifa za msanii wake Mbwana Kilungi maarufu ‘Mbosso’ kuondoka kwenye lebo hiyo, huku akisema yeye ndiye mtoa tamko wa lebo hiyo Soma: Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond Kupitia
textures in diamond city disappearing reappearing? - The Nexus Forums Hey, so ive been running into this problem where textures in (primarily) diamond city and a few other areas will disappear and reappear at random (the object is still there, just invisible), and it makes it very difficult to walk around diamond city Ive read on this issue with other people, and
Diamond Platnumz aweka rekodi, awa msanii wa kwanza Afrika Mashariki . . . Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita, ikiwa ni pamoja na Best African Act mara tano na Best Worldwide Act mara moja Katika mihula minne